MAGAZETINI LEO 06/06/2017: Mazishi ya Kihistoria, Ni Mazishi ya Karne,.. Kwaheri Ndesamburo 'Gwiji wa Siasa'
Mbowe, Lowasa walilia Demokrasia wakimuaga Ndesmburo; Ndugai asema 'Mdee Bulaya wameshindikana...' abariki kifungo cha Mwaka mzima nje ya Bunge; Vita ya Makonda 'Siri yafichuka' ahusishwa na Ubenge Dar',.. #SHARE pia usikose kusoma Fisi wanavyotesa watu Kahama...Na michezoni; YANGA Kumenyana Na AFC Leopard...
No comments:
Post a Comment