Picha 12: Hii ndiyo 'Guest' ya $2,500 Kwa siku aliyofikia Obama na mkewe Michelle.. #share wapo zao Bali, Indonesia..
Zimetufikia picha kadhaa za maisha ya 'mishe mishe' baada ya urais wa Barrack Obama..
Katika maisha ya kila siku tunapitia kila aina ya mafunzo mema na mabaya,.. lakini Kwa Obama na familia yake ni raha rahani..
Kwenye picha zilizotufikia hivi punde, Obama anaonekana akichanja mbuga pori kwa pori akikagua mashamba ya mpunga huko Bali - Indonesia.. pengine na yeye analima huko!!
Obama katika ziara yake amefuatana na mkewe Michelle na watoto wao ingawa Malia haonekani kwenye picha kuepuka kumchanganya akili anapojiandaa na mtihani..
Couple hao wamefikia kwenye kajumba kadogo tu lakini hiyo bei yake kwa chumba usipime, dola 2,500 kwa usiku mmoja.. na watakaa kwa siku tano kuanzia leo...
Hii ni Four Season Resort, na ipo kwenye Orodha ya UNESCO World Heritage !
Obama amekaribishwa na kupokelewa kwa Gwaride la kitamaduni la wakulima wa Bali.
Nisikumalizie utamu.. hebu gonga 'play' ucheze picha zote!!

No comments:
Post a Comment