Picha 6: Atakapopumzishwa Mzee Ndesamburo katika Safari yake ya Milele !! #SHARE
Mwili wa Gwiji la Siasa nchini Marehemu Philemon Ndesamburo umewasili nyumbani kwake ambako maelfu ya wakazi wa Moshi na maeneo ya Jirani wamekusanyika kushuhudia Safari yake ya Mwisho.
Matukio blog inaendelea kukujuza yanayojiri mazishini hapo usiache kujiunga nasi kwa Matukio mubashara kupitia www.matukiotza.blogspot.com
#SHARE
Wajukuu wakiongoza kubeba Kaburi la Marehemu Mzee Ndesamburo |
Mkuu wa kanisa la KKKT,Askofu Dk Fredrick Shoo |
No comments:
Post a Comment