Video: Dakika 10 za Lucy Mayenga wa CCM akiichambua Bajeti kuu.. msikilize hapa alivyoi 'rarua rarua' Twaweza kiaina.. #share.. yaani mpaka Mbunge mwenzake wa CCM akaomba mwongozo !!
Ndugu Msomaji jana katika ukurasa huu tuliona wabunge wa CCM walivyotafsiri Ripoti ya Twaweza juu ya JPM kushuka umaarufu.. wao wakasema sio issue as long as umaarufu wake kwa masikini walio wengi walioko vijijini umeongezeka si issue kabisaa... maana vijijini ndiko waliko wapiga kura walio wengi..
Wakasema wakati Twaweza wanaandaa ripoti yao ndio ule mda ambao vita ya Serikali dhidi ya wauza unga iliyoongozwa na 'jemedari Makonda' ndio ilikuwa imenogaa... sasa hapo lazima umaarufu ungeshuka tu hata kama ni wewe..
Matukio blog leo tumemnasa Mhe. Lucy akitoa 'kipondo live' kwa Twaweza.. ikabidi Mbunge mwenzake upande CCM aombe mwongozo kuweka mambo sawa !!
Bofya play upate kumsikia..
======================== ====== ==
Jana ilikuwa hivi...
Katika hali ya kujipanga kimkakati Bungeni, leo Wabunge wa chama tawala CCM, wameunga mkono ripoti ya Taasisi ya Twaweza inayoeleza kushuka kwa ushawishi wa Rais John Magufuli.
Ripoti hiyo iliyotolewa jana na kubainisha kwamba umaarufu wa Rais huyo wa awamu ya tano umeshuka na kwamba anakubalika miongoni mwa maskini, wasio na elimu kubwa pamoja na waishio vijijini.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Lucy Mayenga amesema kilichoelezwa na Twaweza ni sahihi kwa sababu Rais amejielekeza kwa makundi hayo ambayo hayana mtetezi.
"Hao ndiyo watu wengi zaidi. Kiuchumi inakubalika," alisema Lucy.
Wakati Lucy akiendelea kutoa hoja zake, Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega alitoa taarifa iliyopokelewa na mtoa hoja.
Uledi amesema: "Kwa muda wa utafiti, Rais alikuwa anapambana na vyeti feki, dawa za kulevya na mafisadi. Hao wote hawawezi kumpenda zaidi ya maskini ambao hawaguswi na mambo hayo."
Lucy ametoa maoni hayo wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Serikali unaoendelea bungeni.

No comments:
Post a Comment