Video: Tanzania Yachomoza Miongoni mwa Nchi 10 Barani Africa zenye Uchumi mkubwa zaidi !#share..Nigeria yaongoza..
Ndugu msomaji wa mtiririko huu wa "10 Bora".. leo nimekusogezea "another good news..". Tanzania Nchi yetu ambayo kwa miaka mingi imekuwa na uchumi wa kinadharia.. hatimae imeingia rasmi kwenye uchumi wa kitakwimu..
Itakumbukwa ni juzi tu Benk ya Dunia (WB) wametoa orodha kama hii ya ya nchi ambazo zinakuwa haraka kiuchumi mwaka 2017 huku Tanzania ikishika nafasi ya 5.
Katika orodha hii mpya iliyokusanywa na mtandao wa h10, Tanzania ni ya 10 miongoni mwa nchi zenye uchumi mkubwa kwa vigezo vya GDP kwa mwaka 2017, ikiwa na ukwasi wa $49 billion, huku Nigeria ikishika nafasi ya kwanza mbele ya Egypt na South Africa.. ikiwa na ukwasi wa 594.23 billion yaani mara 11 ya ukwasi wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment