Vijana Wakumbushwa umuhimu wa Kulipa Kodi!! #share





Mwalimu wa Elimu ya Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi akielezea jambo wakati wa Mdahalo wa Vijana kuhusu Nguvu ya Kodi, ulioandaliwa na Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa TYVA Taifa Bw. Suleiman Makwita na Muongoza mada Bi. Nuria Mshare. Kauli mbiu ya mdahalo huo ni “Nguvu ya Kodi” Kodi kwa Huduma Bora za Jamii.







Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) Bw. Suleiman Makwita akifafanua jambo wakati wa mdahalo hukusu kodi ulioandaliwa na asasi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Muongozaji wa mdahalo huo Bi. Nuria Mshare na Mwalimu wa Elimu ya Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi.







Muongozaji wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu wa kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) Bi. Nuria Mshare akifafanua jambo wakati wa mdahalo huo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa TYVA, Bw. Suleiman Makwita na Mwalimu wa Elimu ya Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi. Kauli mbiu ya mdahalo huo ni “Nguvu ya Kodi” Kodi kwa Huduma Bora za Jamii.







Makamu Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) Bi. Irene Kalumuna akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mdahalo hukusu kodi ulioandaliwa na asasi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.







Washiriki wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu wa kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakichangia mada wakati wa mdahalo huo uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo. Mdahalo huo umeandaliwa na TYVA kupitia mradi wake wa Ushiriki wa Kijana katika masuala ya Kodi (YEGA) chini ya udhamini wa Shirika la Action Aid Tanzania.







Washiriki wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu wa kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakichangia mada wakati wa mdahalo huo uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo. Mdahalo huo umeandaliwa na TYVA kupitia mradi wake wa Ushiriki wa Kijana katika masuala ya Kodi (YEGA) chini ya udhamini wa Shirika la Action Aid Tanzania.








Baadhi ya washiriki wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu wa kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakifuatilia mada wakati wa mdahalo huo uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo. Mdahalo huo umeandaliwa na TYVA kupitia mradi wake wa Ushiriki wa Kijana katika masuala ya Kodi (YEGA) chini ya udhamini wa Shirika la Action Aid.(PICHA NA FRANK SHIJA – MAELEZO)

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search