Big News!! Mo Dewji Achomoza tena Tuzo za SuperBrand,.. uamuzi wa Ngeleja wawekwa 'mtu-kati' #share.. Wiz Khalifa aendelea 'kufunika' na #SeeYouAgain
KUFUATIA Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati William Ngereja Kurudisha fedha sh. milioni 40.4 serikalini wanasheria wamesema ni kosa kufanya hivyo kwani hakumuondolei kosa la jinai analotuhumiwa nalo.
Wakizungumza leo na mwandishi wa habari hii kwa nyakati tofauti wanasheria hao wamesema utetezi wake hauna maana ya kisheria wala mantiki kwani alitakiwa kusema hayo aliyozungoza wakati wa sakata hilo bungeni 2014 hivyo bado sheria inaweza kuchukua mkondo wake dhidi yake. Leo Ngeleja amerudisha kiasi hicho cha fedha kwa madai kuwa ni baada ya kuona zinahusishwa na sakata la akaunti ya Tegeta ESCROW huku pia aliyempatia James Rugemarila akihusishwa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mkufunzi wa Sheria Profesa Abdallah Safari alisema kisehria kitendo hicho cha kurudisha fedha siyo sahihi kwa kuwa kosa alilohusishwa nalo ni la jinai.
Alisema kutokana na asili ya kosa hilo kuwa la jinai mahakama pekee ndiyo inaweza kutoa uamuzi wa kusamehe au vinginevyo ambapo alieleza kuwa endapo ataachwa na vyombo vya dola itakuwa nikumfanya kuwa juu ya sheria.
“Tunapozungumzia masuala ya sheria hilo ni kosa, wapo wanaotuhumiwa kwa makosa madogo na wanafungwa, kwa kitendo hicho ni kwamba anakubali alichukua fedha hizo kinyume na utaratibu, kama wlioko mahakamani wote wangekuwa wanaruhusiwa kurudisha kama yeye basi tungekuwa na watu wachache kwenye magereza,” alisema Profesa Safari.
Kwa upande wa Rais wa Chama cha Wnasheria cha Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alisema hakuna sheria yoyote nchini inayosema mtu akipokea rushwa akarudisha anakuwa amefuta kosa la kijinai.
Aidha alisema kutokana na hali hiyo bado sheria inaweza kuchukua mkondo wake dhidi yake na kwamba kwa hatua hiyo amerahisisha kazi katika kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kupokea fedha walizodai siyo za umma huku akihoji kwa nini amepeleka fedha hiyo TRA wakati mamlaka hiyo haimdai.
Aidha alisema sababu ya Ngeleja kufanya hivyo ni baada ya kukamatwa kwa Harbinder Singh Seth na James Rugemalila hivyo anadhani hatua hiyo itamsaidia katika kuukwepa mkono wa sheria.
Na. Abraham Ntambara
============ ============== end ===
Taasisi ya MO Dewji inayojuhusisha na kusaidia jamii katika elimu, afya na maendeleo ya jamii imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora inayofahamika kama SuperBrand.
Taasisi hiyo inayomilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mohammed Entreprises Tanzania Limited, Mohammed Dewji imetunukiwa tuzo hiyo kutokana na juhudi zake za kusaidia jamii kupitia miradi mbalimbali ambayo inaifanya.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya MO Dewji, Barbara Gonzalez amesema ni heshima kubwa kwa taasisi kupata tuzo hiyo lakini pia itawasaidia kufanikisha miradi mikubwa ambayo wamepanga kuifanya na taasisi kubwa kama ya Bill Gates.
Akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya Taasisi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Barbara Gonzalez “Kwa niaba ya Taasisi ya MO Dewji na kampuni ya MeTL Group tunashukuru sana kwa tuzo hii na huu ni mwanzo mpya wa safari yetu, kama mnavyojua taasisi yetu ilianzishwa mwaka 2014 na katika kipindi cha miaka miwili tumeanzisha miradi mbalimbali kama MO Entrepreneurs na MO Scholars ikiwa na lengo la kuwasaida vijana na tunafuraha Baraza la SuperBrands limetutambua,
=============== ============= === end=====

‘See You Again’ surpasses ‘Gangnam Style’ to become most viewed video on Youtube:
The official music video for Wiz Khalifa and Charlie Puth's '#See#You#Again' became the most watched YouTube video of all time Tuesday.
The song's clip has now been viewed 2,895,605,881 times, while previous record holder PSY's Gangnam Style is just below at 2,894,494,866 views.
Korean pop hit Gangnam Style was uploaded to YouTube almost five years ago on July 15, 2012, and has maintained the title of the most watched video since that time.
The See You Again song was written as a tribute to late actor Paul Walker, and then used in the Fast and Furious 7 movie soundtrack. Walker died in a car accident during the film's production.
Wiz Khalifa and Charlie Puth's video reached one billion views in six month, passing the two billion mark last September.
According to calculations, in terms of time, See You Again has been streamed for more than 21,000 years collectively.
Meanwhile, Luis Fonsi's summer hit Despacito has been viewed more than 2.5 billion times in just six months, and is unlikely to slow down, which is why some say that See You Again's reign as the most watched video could be short-lived.
Ngeleja aibua maswali kibao https://t.co/aWg4y5IvlF via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
Taasisi ya MO Dewji (@DewjiFoundation) yatunukiwa tuzo ya ubora ya SuperBrand | https://t.co/i73fsf5Oic pic.twitter.com/7wBrw23HgY— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) July 11, 2017
India commits to spending 3 billion USD by 2020 and announces a new FP strategy. @MoHFW_INDIA pic.twitter.com/4R4sx26m4Z— Gates Foundation (@gatesfoundation) July 11, 2017
Mradi wa Rea kuzinduliwa leo Kagera https://t.co/0LGo7l5LIU via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
Samia ataka ushirikiano kutatua changamoto za mawasiliano https://t.co/jQADvgduvW via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
WBO review rules Horn beat Pacquiao https://t.co/SK0zci14gb pic.twitter.com/GIc48fTMSS— Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) July 11, 2017
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 11.07.2017 na Salim Kikeke https://t.co/L2HT7SYLrt— bbcswahili (@bbcswahili) July 11, 2017
FBI escalates investigation into Sanders' wife: report https://t.co/rKHLKkt4CY pic.twitter.com/pT2AmLftwr— The Hill (@thehill) July 11, 2017
Mbowe amburuta DC wa Hai kortini https://t.co/QGFS8Je4is via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
There was lots up for discussion at our press conference earlier...https://t.co/wTHikhKETt— Arsenal FC (@Arsenal) July 11, 2017
Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya na waziri wa zamani wa serikali hiyo Nicholas Biwott (77) amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu pic.twitter.com/QHAYVoDAWZ— AzamTV (@azamtvtz) July 11, 2017
Proof Pogba's friendship with Lukaku played vital part in Man United deal https://t.co/vpoEZoE2cB pic.twitter.com/hI43klNoVi— Mirror Football (@MirrorFootball) July 11, 2017
Diwani aitosa Chadema akieleza anamuunga mkono Rais Magufuli https://t.co/euI0vDW77d via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
UCHAMBUZI : Chonde Watanzania tusilipe kisogo shindano hili EAC https://t.co/qvejUqlLPs via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
MAONI YA MHARIRI : Mkazo uwe kuelekeza siyo kukusanya fedha https://t.co/UXnsJkkzlf via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
Nkata seeks history with Bandari in GOtv Shield https://t.co/hgFvoTYG6R via @CapitalFMSport— Capital FM Kenya (@CapitalFMKenya) July 11, 2017
#Habari:TANROADS yatakiwa kuongeza adhabu kwa madereva wa malori wanaozidisha uzito wa mizigo.Soma zaidi->https://t.co/ZETlUabWqa pic.twitter.com/VnBjQUQ4CT— Radio One Stereo (@RadioOneStereo) July 11, 2017
— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
Contaminated blood scandal inquiry announced https://t.co/FNzrO3j84M— BBC News (UK) (@BBCNews) July 11, 2017
Only Floyd Mayweather could turn a pro-boxing debut into the biggest fight ever https://t.co/iUY0dcm5ZR— EagleStar.NET (@EagleStarNET) July 11, 2017
In 2012, UN predicted Gaza to be "unlivable" by 2020; the "deadline is approaching faster" due to Israeli blockadehttps://t.co/6WLCOnzdoU— DAILY SABAH (@DailySabah) July 11, 2017
First round of comprehensive economic dialogue between #China and US begins on July 19 https://t.co/Xb10KG2w4a— CGTN (@CGTNOfficial) July 11, 2017
Wakulima watumia Sh5milioni kuanzisha shamba darasa https://t.co/YrUTjF46zu via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 11, 2017
'Makusanyo hayo ni sawa na 7.67 ikilinganishwa na makusanyo ya mwaka 2015/2016 ambayo yalikuwa Tsh. Trilioni 13.3- Richard Kayombo #TRA2017 pic.twitter.com/sdVt6OwDJR— millard ayo (@millardayo) July 11, 2017
No comments:
Post a Comment