Big news: Rais Magufuli asema 'tumechoka kuchezewa.. #share asema makusanyo Kodi ya Majengo 'ni funga kazi..' TANTRADE nao Waja na Hoteli kubwa Uwanja wa 77'

“Tumechoka kuchezewa.” Hayo ni maneno ya Rais John Magufuli wakati akizindua rasmi maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara huku akisisitiza maonyesho hayo yatumike kama chachu ya maendeleo.
“Tumechoka, tumechezewa mno, lakini tumechezewa kwa muda mrefu na tumechezewa kwa sababu tumeamua,” amesema.

Ameyasema hayo leo (Julai 1) wakati akihutubia katika viwanja vya Sabasaba. Pamoja na kusisitiza utajiri ambao Tanzania inao, Rais amewataka wawekezaji walioshiriki maonyesho hayo kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania ipo salama.


“Maonyesho haya yatumike kama chachu ya maendeleo,” amesema.
==========   ====== =====

WAKATI Huo huo rais amewapongeza Watanzania kwa mwamko waliouonyesha na kwa kujitokeza kwao kwa wingi kulipia kodi za majengo.. na kuwasifia TRA kwa kuwakadiria Watanzania kodi ambayo wanaweza kuilipa, na hivyo kujitokeza kwa wingi kufanya hivyo..




     My Sister Fatna Ramole has been missing for more than 48hrs. If anyone has seen her or heard           anything please contact me and spread the news. pic.twitter.com/WdkOE3L0Hm












About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search