Full Episode: Lionel Messi Alivyochukua Jiko Jana.. #share kamuoa mrembo Antonella Roccuzzo.. mastaa kibao wamsindikiza..
Hatimaye mshambuliaji wa timu ya Barcelona Lionel Messi amefunga ndoa na mpenzi wake wa utotoni ambaye tayari alikuwa amezaa naye watoto wawili anayeitwa Antonella Roccuzzo huku mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo
Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo waliyefunga ndoa
Mastaa wa soka ambao Messi alicheza nao Barcelona kutoka kushoto Xavi na mkewe, Fabregas na mpenzi wake na Puyol na mkewe
Staa mwenzake wa FC Barcelona Luis Suarez na mkewe Sofia
Alba wa FC Barcelona na mpenzi wake
Mshambuliaji wa Manchester City na timu Taifa ya Argentina Segie Aguero akiwa na mke wake kwenye harusi ya Lionel Messi
Cesc Fabregas wa Chelsea na mpenzi wake
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
No comments:
Post a Comment