Breaking News!! Dr. Mashinji wa CHADEMA na wenzake waachiliwa huru!! #share
Habari za mchana huu kutoka vyanzo vya kuaminika vinatonya kwamba Katibu Mkuu kipenzi cha watu Dkt. Vincent Mashinji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, pamoja na wabunge wawili wa chama hicho na viongozi wenzao sita wa chama waliokamatwa na Jeshi la Polisi na kushikiliwa tangu juzi wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma wameachiliwa huru leo.


Afisa Habari wa Chadema Tumaini Makene amethibitisha kuachiliwa kwa viongozi hao.
No comments:
Post a Comment