Just In News!! Alichoandika Tundu Lissu mara baada ya kutoka Mahakamani bila kukamatwa!! #share

Alichoandika Tundu Lissu hivi punde baada ya kutaarifiwa kuwa taarifa za kukamatwa kwake hazikuwa zimevifikia vyombo husika Mjini Dodoma :



Tundu Lissu:
Dear members.
Sorry to disturb y'all again. I'm relieved to have to inform you that I'm free, for now at least.
A short while ago the Regional Police Commander for Dodoma came into the courtroom to personally inform me that he's under no instructions to have me arrested.
He asked me, politely I must confess, to leave the courtroom and no one will molest me. He said it in front of the cameras, as members of the press were present in good number.
I've decided to give him the benefit of my doubts. I'll be driving back to Dar tomorrow morning, to be able to catch an evening flight to Kigali, to attend EALS Governing Council meeting slated for Friday and Saturday.
We can, for now at least, breath an easier sigh of relief.
I thank you for keeping me in your thoughts and prayers.

Tundu Lissu
President

===================
Hapo awali blog yako ya Matukio360 iliripoti kuwa Lissu alikuwa kwenye shakashaka za kukamatwa kufuatia kauli tata ambazo ambazo amekuwa akizitoa kuhusu Serikali ikiwemo ya kuwaomba wahisani wakate misaada jambo ambalo limeibua hasira kali miongoni mwa wasomi, wanasiasa na watumiaji wa mitandao ya kijamii..  
Fuatana nasi kuhusu yanayojiri. MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amegoma kutoka nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, kwa maelezo kuwa amepata taarifa kuwa akitoka eneo la mahakama atakamtwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa  Dodoa akimsihi Tundu Lissu atoke nje ya Mahakama.

Ujumbe uliotumiwa na mbunge huyo wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye mitandao ya kijamii, unaeleza nia ya watu hao na kubainisha kuwa hatotoka mahakamani hapo, labda wakamkamate ndani ya mahakama hiyo.

“Wambie kuwa sitotoka nje ya mahakama . kama wanataka kunikamata watanikamata nikiwa ndani ya mahakama. Tume ujumbe huu katika ndani na nje ya nchi,” alisema Lissu katika ujumbe huo.

Tetesi za kukamatwa kwa mbunge huyo zimekuja ikiwa zimepita siku mbili tangu Chadema kutaka jumuiya za kimataifa kuacha kuifadhili Tanzania ikidai kuna ukiukwaji wa demokrasia na haki za binadamu.

Na Mwandishi Wetu

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search