bREAKING nEWS: Majadiliano yameanza rasmi - Barrick Gold Corporation na Serikali ya Tanzania.. #share

Tumepokea habari ya faraja juu ya kuanza rasmi kwa majadiliano kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais na wawakilishi wa Barrick Gold Corporation.



Kwa mujibu wa Taarifa tuliyoipokea mchana huu kupitia kwa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Kamati hiyo kwa upande wa Serikali ya Tanzania inaongozwa na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palimagamba Kabudi, na Afisa Mwendeshaji Mkuu Richard Williams kwa upande wa Barrick.

Bakia nasi kupitia uzi wako huu wa matukio360 tuendelee kukujuza yanayojiri.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search