Breaking News! Masikini Kifo hiki.. ! Mama Zari afariki Dunia asubuhi ya leo.. !! Insta ya Diamond bado imenuna.. #share..




Tumepokea Habari za kusikitisha za kifo cha Bi Halima Hassan, ambaye ni mama wa mzazi wa Zari (@ZariTheBosslady) aliefariki dunia mapema alfajiri ya leo.. 



Habari zilizosambaa kupitia social media na kupitia kwa Zari mwenyewe,..
 ambae pia ni mpenzi na mzazi mwenza wa Diamond Platnumz, zimethibitisha kifo cha Mama huyo wa Zari  ambaye alizaliwa Mei 15, 1959,.. na kufariki baada kulazwa Hospitali kwa muda mrefu akisumbuliwa na 'shambulizi la moyo..'. 

Hata hivyo watafiti wa mambo ya social media wameshangazwa na ukimya wa Diamond ambae hadi sasa 'akaunti yake ya Insta..' imenuna kinyume na ilivyo kawaida..

Kumekuwa na 'tetesi za hapa na pale' juu ya uimara wa mawasiliano ya wawili hao tokea kifo cha mume wa zari, Ivan Ze Don, na kuvuja kwa picha za Zari na binamu yake wakijivinjari katika bwawa la kuogelea.. 

Penzi la Zari (kipenzi cha watu) na Diamond limejichotea umaarufu mkubwa tokea wawili hao waanze mahusiano yaliyopasua anga za Afika na kufanikiwa kupata watoto wawili..


Matukio360 inaendelea kufuatilia yanayojiri msibani; (Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amina) 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search