Good news: JPM kutumbua Ma-DC watakaoleta njaa... azindua Km 707 Barabara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, leo tarehe 25/07/2017  amekamilisha ziara yake ya siku 7 katika Mikoa ya Kagera, Kigoma,Tabora na Singida.

Katika ziara yake Mhe. Magufuli amezindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya wananchi ikiwemo kilometers 707 za Barabara, na kuwataka wananchi kutembea kifua mbele kwa kuwa fedha za ujenzi wa barabara hizo zimetokana na vyanzo vya ndani.

Kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu tumekuwekea waraka unaoelezea kwa kina mzunguko kamili wa Ziara ya Mhe. Rais.



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search