Just In News: Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea ashikiliwa Polisi Chang'ombe kwa kosa la Usalama Barabarani !! Mahakama Kenya yampa 'pigo la kushtukiza' Raila Odinga..

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea kwa kukiuka makosa ya Usalama wa barabara na kutokutii amri ya Polisi wa usalama wa Barabarani.



Akizungumza hayo Dar es Salaam leo, Kamanda Mwandamizi Msaidizi,Gilles Muroto amesema Mbunge huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Changombe tangu kwa kukabiliwa na makosa ya barabara.

"Kosa la kuendesha gari bila kuwa na bima ya chombo hicho na kukiuka maamrisho ya polisi usalama wa barabarani,"alisema Muroto.

Aidha amesema uchunguzi unafanyika kwa Mbunge huyo na kufikishwa mahakama.












About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search