Magazeti ya 17/06/2017: Mgao wa 'akina' Chenge unaambiwa ni Bajeti ya Wizara.. Waziri Mkuu Majaliwa asema safari ya Mitumba sasa imefika mwisho.. Lowasa 'asema yumoo' Uchaguzi Mkuu 2020.. #share.. IGP Sirro aja na panga-pangua 'funga kazi,..'
Dr. Mashinji wa CHADEMA bado ashikiliwa Ruvuma,.. Kilichomuua Bi Linah George Mwakyembe 'hiki hapa'.. JPM aendelea kumlilia... TRA sasa habari nyengine.. yakazia matumizi ya EFD,..
M
No comments:
Post a Comment