Magazeti ya Leo 21/07/2017: Tundu Lissu akamatwa na Polisi uwanja wa Ndege.. JPM awatangazia 'kiama' mafisadi.. asema sasa ni zamu yao kuumia.. #share.. Mbunge Mtulia atozwa Pauni ya Kingereza Mahakamani
JPM awatosa Wakimbizi wa Burundi mbele ya Rais wao, .. asema hawatapewa uraia ng'o, Mahesabu ya Polisi kwa Lowasa bado ni magumu.. Waalimu wakuu shule za Msingi wakalia kuti kavu...
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment