Magazetini Leo 12/07/2017: 'waziri Ngeleja' kaliamsha dude ESCROW.. Askofu Kilaini auliza 'nizirejeshe wapi?'.. Madiwani wa CHADEMA wazidi 'kupukutika' Arusha,.. #share.. TRA yanasa Trillioni 14.4 za Makusanyo..

Zitto Kabwe ataka Watanzania 'tujifunge mkanda',.. Hatma ya Hisa Vodacom kujulikana baada ya wiki 3,.. Mabasi ya Mwendokasi sasa ni 'hali-tete'.. Na Staa Wine Rooney kuiteka Dar Leo...



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search