Morning News: SPA Foto zamweka Zari na Diamond Platnumz 'ndani ya Bifu zito' unaambiwa 'Tiffah Dangote' sasa ni 'Tiffah Hassan'.. Trump leo 'kamkana mwanawe' Trump Junior kuhusu Mkutano wake na Majasusi wa Kirusi.. #share.. Ifakara Health wametuletea 'ndala' kutukinga na Mbu wa Malaria.. Ujio wa Staa Wine Rooney kutikisa Jiji leo.. Mwakyembe ashusha ujumbe 'mzito..'

Diamond and Zari recently had friction because of a swim spa photo. The two lovebirds are once again on a collision course and this time it’s damn serious. A month ago, Ivan Ssemwanga’s cousin – Edwin Lutaaya almost caused Diamond and Zari’s marriage to break after he was seen having a nice time with Zari in a swim spa. 



Zari’s fans recently took issues with Diamond after the singer failed to go to the hospital to see his mother-in-law who has been in and out of hospital recently. Zari’s mother has heart complication and has been in and out of hospital in South Africa in recent weeks. 

Netizens realized all was not well between Diamond and Zari after the latter changed their daughter’s name. Zari stated on Instagram that her daughter was no longer Latifah Dangote but rather Latifah Hassan - ghafla Tz

============= ======================

Mtoto wa kiume wa rais wa Marekani Donald Trump, amesema kuwa hakumfahamisha babake kuhusu mkutano na wakili raia wa Urusi ambaye alisema kuwa angesaidia katika kampeni yake ya uchaguzi
Donald Trump junior alikiambia kituoa cha habari cha Fox News kuwa mkutano huo haukuhusu chochote.
Alitoa barua pepe zake zikionyesha kuwa alikaribisha ombi la kukutana na wakili, ambaye alikuwa na uhusiano na Urusi, ambaye alikuwa na ujumbe potovu kumhusu Hillary Clinton.

Maafisa wa Marekani wanachunguza madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani.
Tangu achaguliwe Rais Trump ameandamwa na madai kuwa Urusi ilijaribu kuhujumu kampeni ya Bi Clinton.
Amekana kufahamu lolote na Urusi mara kwa mara imekana kungilia kampeni.
Alipoulizwa ikiwa alimuambia babake kuhusu mkutano wa mwaka uliopita, Bwana Trump junior alisema hakukuwa na chochote cha kumuambia.

Donald Trump Jr, mkwe wake Jared Kushner na mwenyekiti wa kampeni Paul Manafort, walikutana na wakili wa Urusi Natalia Veselnitskaya, katika jumba la Trump Tower mjini New York mwezi Juni mwaka 2016 - BBc

====================== =================  =======
Tundu Lissu kafafanua: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS Tundu Lissu amezungumza na kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa za ukimya wake baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS ambapo mbali na hayo amezungumzia pia mchakato wa Katiba mpya na majukumu ya Rais wa TLS.

Akiongea kupitia Ayo Tv,.. Tundu Lissu amefunguka pia kuhusu issue ya kumfutia usajili Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe pamoja na utawala wa sheria nchini Tanzania.



















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search