nEWS: Makazi ya 'makamo wa rais' yavamiwa, mlinzi wake ajeruhiwa vibaya.. #share..
Watu wasiojulikana dhamira yao jana mchana wa tarehe 29/07/2017 walivamia nyumba ya Makamo wa Rais Nchini Kenya Bw. William Ruto na kufanikiwa kuingia ndani ya nyumba hiyo iliyoko mji mdogo wa Sugoi wilayani Uasin Gishu..
Kwa mujibu wa Taaifa rasmi ya Jeshi la police iliyosainiwa na Mkuu wa Jeshi hilo Inspector General Joseph Boinet, Mlinzi wa getini wa makao hayo alijeruhiwa vibaya na anapatiwa matibabu..
Police walifanikiwa kumdhibiti mvamizi huyo na bado anashikiliwa na Jeshi hilo..
.
No comments:
Post a Comment