Breaking News: Dkt Abbas atwaa Uteuzi wa JPM, sasa atakuwa Mkurugenzi Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali.. #share
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amemteua Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo Dkt Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kwa Mujibu wa Taarifa kutoka Ikulu tuliyoipokea usiku huu Uteuzi huo ni kwa mujibu wa Sheria Mpya ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016.
No comments:
Post a Comment