bURUDANI: Hamisa Mobetto leo ameachia picha mpya huku akionekana kuonesha ujauzito #SHARE
Mrembo wa Tanzania Hamisa Mobetto ameachia picha mpya huku akionekana kuonesha ujauzito wake kupitia mtandaoni wake wa Instagram.
Hamisa aliambatanisha picha zake kwa kuweka wazi kuwa amemfungulia mtoto anayemtarajia akaunti mpya ya Instagram ambayo ameiweka jina la ‘Tanzanian baby’.
No comments:
Post a Comment