kENYA eLECTION: Mgombea wa Urais ashindwa kupiga kura kisa mafuriko...#share
Mgombea wa
Urais, Dr. Ekuru Aukot akwama kupiga kura baada ya mafuriko kuvunja na
kulisomba daraja la huko kaunti ya Nginyang.

Kwa upande wake Rais Uhuru Kenyatta akiambatana na mkewe Margaret wamepiga kura kituo cha Shule ya Msingi Mutomo, Gatundu Kusini.
Mgombea urais wa muungano wa Nasa Raila Odinga amepiga kura katika Kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Old Kibera.
Hata hivyo Mvua kubwa iiliyonyesha nchini humo imekwamisha zoezi la upigaji kura katika maeneo mabli mbali ikiwemo Turkana, Baringo na Samburu.
No comments:
Post a Comment