Magazeti ya Leo 09/08/2017: Ulimi wa JPM wawatesa Mawaziri.. Mbowe ataka aombewe KUPUNGUZA ukali wa maneno,.. Wakenya waamua.. 'Uhuru atosha tena Kenya',.. Mazito yaibuka Barrick.. upekuzi wafanyika dunia nzima,.. Masamaki wa TRA 'hayajesha bado..' yasemekana Takukuru wapanga kumuhoji Upyaa....! #share
Jaji Mutungi akana Viongozi CUF kubebwa,.. JK, Lowasa kumzika Billionaire wa Hotel, Agizo la JPM laleta 'afuweni' ada za Vyuo Vikuu,.. Wazawa watwaa hisa za Voda za Sh. 285Bilioni,..
No comments:
Post a Comment