Magazeti ya Leo 12/08/2017: Lipumba amning'iniza tena Maalim Seif Mahakamani,.. Uhuru Kenyatta arejea Ikulu; Lowasa anachekelea USHINDI... Waziri wa JPM 'akwepa mtego wa Kutumbuliwa ',.. na ACACIA Mining waja na neema kwa Wahitimu Vyuo Vikuu.. #share

'Kibano cha Makinikia' kuelekezwa Tanzanite,.. DC 'amlamba mikwaju' baba kisa gari kupigwa mawe,.. Rostand Azizi aingia matatani tena,.. na John Heche amtaka JPM awe Shahidi wake Mahakamani... 



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search