Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 23/08/2017: Tundu Lissu anaswa 'kikachero' aswekwa rumande.. ni kuhusu Bombardier.. Vigogo 12 Chadema kumfuata Lissu Rumande,.. Sumaye afunguka mazito ya Waziri Lukuvi.. asema JPM 'kamuonea'.. Simba vs Yanga leo ndio leo 'hatumwi mtoto dukani,.. Serikali kununua Radar nyengine 4,.. na Ripoti ya Mkemia Mkuu yamkaanga Manji.. yabaini anatumia unga!!




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search