Magazeti ya Sports na Hardnews Leo 17/08/2017: Balozi Mwapachu 'kavurugwa' Kisa ? Mbwa wake kapotea,.. Kesi ya Lema yaitikisa Serikali,.. Pangua-pangua yawakumba Makamanda Jeshi la Zimamoto,.. Okwi, Niyonzima bado pasua kichwa,.. Omog, Lwandamina tumbo joto Ngao ya Jamii,.. na Uchunguzi 'Makinikia' ya Almasi 'pasua kichwa'... #share

Mafia 'waibipu' TRA.. wacheza na mashine za EFD,.. Raila Odinga 'amkwamisha' Uhuru Kuapishwa,.. Moto wa ajabu umeteketeza soko la Mwanjelwa,.. Simbu asimulia alivyosota,.. Watoto wa Lucky Vincent kurejea Nchini kesho..






About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search