Marais Shein na JPM waliposimama bega kwa bega kumlaki mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi alivyowasili nchini leo.. #share
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akiwasili nchini leo kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaama mara baada ya kuwasili nchini leo kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na
Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipokuwa akielekea kukagua gwaride la Heshma baada ya kupokea salamu leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam mara alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamu wa Rais wa Jamhuri tya Muungano Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi (hayupo pichani) alipowasili nchini leo kwa ziara ya siku mbili kwa mualiko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein wakiwapungia mikono wananchi waliofika katika mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi mara akipunga mkono huku akiwa ameongozana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius kamabarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili. [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
Kikundi cha Brass Bandi kilipokuwa kikiburudisha wakati wa mapokezi ya Rais wa Misri Mhe.Abdel Fattah El-Sisi alipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara ya siku mbili, [Picha na Ikulu.] 14/08/2017.
No comments:
Post a Comment