Matukio Pichani: Comrade Kinana 'aliposonga front' kuwafunda 'makamanda' wake wa Bara na Visiwani'.. #share



Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

Sekretarieti ya mafunzo hayo wakiwa kazini


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

muwasilishaji mada akiendelea

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

Hamasa ikiendelea

Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.




Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.


washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.




washiriki wakiuliza maswali katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search