nEWS: Brigadia wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aula kwa JPM... apewa kitengoTakukuru...#share
RAIS John Magufuli leo amemteua Brigadia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)
Taarifa ambayo imetumwa kwa vyombo vya habari na Mkurugezi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Gerson Msigwa imesema uteuzi huo Umeanza leo Agosti 2i.
Na Abraham Ntambara




No comments:
Post a Comment