nEWS: JPM afanya uteuzi maafisa wa Zimamoto.. #share..
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli awapandisha vyeo na kuwateua maafisa wawili wa Jeshi la Zimamoto kuwa Makamishna.
Taarifa kamili tumekuwekea hapa chini.
Taarifa kamili tumekuwekea hapa chini.
No comments:
Post a Comment