Picha 5: Uhuru kenyatta akiendelea kujisafishia njia Uchaguzi mkuu Nchini Kenya... #share
Matukio360 tumefanikiwa kunasa picha kadhaa za Rais Uhuru Kenyatta na Makamo wake William Rutto wakiendelea kuvutia maelfu kwa mamia ya wafuasi wao katika mikutano yao ya Kampeni katika maeneo mengi(Strong-holds) licha ya Muungano wa NASA chini ya Raila Odinga kuongoza kwa tofauti kubwa katika maeneo ya pwani.
Kwa mujibu wa Taasisi moja inayojihususha na maswala ya uchaguzi nchini humo, kura za Urais zingepigwa leo Rais angezoa 67% ya kura katika mkoa wa Mombasa, huku Hassan Joho akimtupa mbali Mwanasiasa mkongwe Najib Balala katika kinyang'anyiro cha Ugavana akifuatiwa na mwanasiasa chipukizi Mohamed Shabahel..
No comments:
Post a Comment