tRENDING nEWS: Hatimaye timu ya Wazalendo 7 katika Mkutano wa Makinikia yawekwa hadharani.. #share..
Kwa takriban siku ya tatu sasa Watanzania wamekuwa kimya wakitafakari pengine wakiiombea Mungu timu yetu ya Makinikia iliyojifungia Katika Majadiliano Mazito, na pengine ya Kihistoria ya kukomboa raslimali zetu Katika Sekta ya Madini..
Swali kubwa liligonga mitandao ya Kijamii ni jee mbali na Waziri wetu wa Sheria na Katiba Profesa Msomi Palimagamba Kabudi, ni nani na nani wengine walioko ndani ya Uwakilishi huo kutoka upande wa Tanzania?
Matukio360 imenasa 'uwaraka unaitembea' ukitaja baadhi ya wahusika.. na kuwafikishia, na kama ni kweli kuna haja ya kujipongeza kwa timu hii strong na yenye uzalendo wa kweli..
tunakaribisha maoni yenu chini ya kisanduku hiki...
No comments:
Post a Comment