Breaking: Yusufu Manji azidi kuandamwa na Majanga... Baada ya kuvuliwa Udiwani sasa JPM ampora shamba... #share

RAIS John Magufuli amefuta umiliki wa mashamba mawili makubwa katika eneo la Kigamboni na kuyarudisha serikalini.

Moja ya mashamba hayo limo la Amadol lenye ekari 5,400  ambalo lililokuwa likimilikiwa na mfanyabiashara Yusuf Manji lenye ekari 715.

Waziri Lukuvi ndiyo ametangaza leo kufuta umiliki wa ardhi wa mashamba ya mfanyabiashara huyo lililoko Kigamboni jijini Dar es Salaam

Kufutwa kwa shamba hilo inakuwa ni mwendelezo wa Majanga yanayoendelea kumkumba aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Mbagala CCM.

Kwani utakumbuka hadi sasa anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi pamoja na matumizi ya dawa za kulevya.

Na Mwandishi Wetu

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search