Jua alichosema Rais wa TLS Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kubatilisha matokeo ya kiti cha Urais...#share

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) amesema “Mahakama ya Tanzania ina mengi ya
kujifunza kutoka Kenya,”.
Lissu ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter muda
mfupi baada ya Mahkama ya Juu nchini kenya kufuta ushindi wa Uhuru Kenyatta
katika kiti cha Urais kufuatia kubani kuwepo kwa kasoro katika uchaguzi huo.
No comments:
Post a Comment