Kesi ya Viongozi wa Simba Yapigwa Kalenda..Soma Habari Kamili na Matukio360..#share
KESI inayowakabili viongozi wa Klabu ya Simba imesikilzwa leo katika Mahamaka
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam na kuelezwa kuwa jalada lililopelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka DPP
kwa lengo la kujiridhisha na uchunguzi halijarejeshwa hivyo kupelekea kesi hiyo
kuahirishwa.
Vigogo hao wa simba ambao ni rais Evans Aveva na Makamu wake,
Geofrey Nyange maarufu Kaburu wanakabiliwa na mashtaka utakatishaji fedha.
Aidha upande wa utete wa viongozi hao wa simba wameiomba
mahakama kesi hiyo itajwe tarehe za karibu, hivyo kesi hiyo imearishwa hadi
oktoba 4 mwaka huu.
KESI inayowakabili viongozi wa Klabu ya Simba imesikilzwa leo katika Mahamaka ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuelezwa kuwa jalada lililopelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kwa lengo la kujiridhisha na uchunguzi halijarejeshwa hivyo kupelekea kesi hiyo kuahirishwa.
No comments:
Post a Comment