Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 07/09/2017: Dude la Tanzanite halimuachi 'waziri salama'.. 'kigogo mkubwa' wamzawadia 'kigogo mkubwa' shs 450/- Million,.. Lipumba asulubiwa Bungeni,.. TFF yasema 'Buswita ni wa Yanga'.. OMOG awashtua makocha Jangwani,.. Manji 'atemeshwa' Udiwani,.. Na nguvu za kiume zalitikisa Bunge.. #share

















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search