TCRA Yawapiga Msasa Wamiliki wa Mitandao (Online Media)..Tazama Hapa Matukio Katika Picha na Matukio360..#share



 Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),  Frederick Ntobi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya matumizi ya vyombo vya habari Mtandaoni (Online Media) iliyowashirikisha wanachama wa Tanzania Bloggers  Network (TBN), kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam
 Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA  wakihudhuria warsha hiyo
 Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku moja



 Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu.  Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA,  Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.

 Mablogga wakiwa makinini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele,  Adam Mzee na Dotto Mwaibale






About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search