Zari Amaliza Sakata la Hamisa Mabetto Kwa Mtindo Huu...Habari Kamili Hii Hapa na Matukio360...#share

KWA muda wa miezi kadhaa kulikuwepo na Uvumi kuhusu Mwanamitindo Maarufu nchini Hamisa Mabetto kuwa na Ujauzito wa Msanii Nasibu Abdul ' Diamond'. Lakini Diamondi alipokuwa akiulizwa ukweli juu ya hilo alikataa.

Hata Hamisa alipojifungua bado Msani huyo wa Mziki wa kizazi kipya aliendelea kukana hadi jana alipokili wakati akihojiwa na Kituo cha Clouds FM kuwa mtoto wa Hamisa ni wake.

Aidha wakati akikili kuzaa na Hamisa alidai  kuwa hata mzazi mwezie Zari anlifahamu suala hilo.

Lakini cha kushangaza Zari alikanusha hilo kupitia mitandao ya kijamii na kusema kuwa Diamond ni muongo na kumtaka asimchezee.

Kutokana na hali hiyo leo zari amelimaliza suala hilo kwa andiko hili katika ukurasa wake wa Facebook.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search