Habari katika picha: Makamu wa Rais Samia Suluhu akimkabidhi cheti cha pongezi Afande Ibrahim Samwix...#share






 Makamu wa Rais, Samia Hassan Suhuhu akimpa Mkono, Mkuu wa Kituo cha Ukaguzi wa Mabasi cha Ubungo, Ibrahim Samwix  katika wiki usalama barabarani iliyofanyika mkoani Kilimanjaro.Ikiwa ni pongezi kwa kusimamia vizuri sheria za usalama barabarani.


Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Lameck Nchemba akimpa mkono Mkuu wa Ukaguzi wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo, Ibrahim  Samwix  katika  Wiki Usalama Barabarani  iliyofanyika mkoani Kilimanjaro, Mkuu kituo cha mabasi ubungo alitunukiwa cheti cha  usimamizi wa sheria za usalama barabarani.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search