Habari katika picha: Rais Magufuli na Mkewe walivyoshiriki Ibada Zanzibar...#share
Rais John Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili .
Rais John Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipokewa na Askofu Augustine Shayo walipowasili katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili .
Rais John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili .
Rais John Magufuli akizungumza katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwenye ibada ya Jumapili.
Rais John Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili.
.
Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili.
Rais John Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Askofu Augustine Shayo na watawa vkatika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki
ibada ya Jumapili.











No comments:
Post a Comment