Habari katika picha: Waziri Mkuu Majaliwa ziarani nchini Toronto..#share
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka baada ya kuwasili Toronto Oktoba 19, 2017 kwa ziara ya kikazi. Kulia ni mkewe Mama Mary Majaliwa.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment