Kaimu Mkurugenzi Mkuu TAWA Dkt. James Wakibara ameendelea na ziara ya kutembelea pori la Akiba Rungwa ikiwa ni mwendelezo wa kutembea vituo vyake vya TAWA na kujitambulisha kwa watumishi walioko chini yake kwani ni muda mfupi takriban miezi miwili tangu achaguliwe kuongoza TAWA.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu ameendelea kusisitiza TUNU za TAWA kuheshimiwa na watumishi wote ambazo ni: kufanya kazi kwa bidii(Dignity): kuendeleza uhifadhi(Intergrity): Ubunifu(Innovation): Kupimika(Accountability): Kushirikiana na wadau(Stakeholders involvement): na mwisho kuuliza mawasiliano(Ability to communicate).
|
Dkt. Wakibara(kulia)akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ulinzi wa raslimali za wanyamapori Bw. Mabula Misungwi. Wakiwasililiza watumishi wa Rungwa |
|
Picha tatu juu baadhi ya watumishi na askari wakimsikiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu(hayupo pichani)
|
|
Askari wa pori la Akiba Rungwa/Muhesi/Kizigo |
No comments:
Post a Comment