Magazeti ya Leo 06/10/2017: Majanga: Miili ya 'wafu wa gongo' yatinga kwa Mkemia Mkuu.. Lowasa atema nyongo.. ataka wenye harufu yake wamfuate Chadema.. 'kaka zake' na Lissu waanika mazito.. wamtaka IGP Sirro atume vijana kumhoji dereva,.. Homa ya Ini bado tishio nchini,.. Uhamiaji ' kulala mbele' na raia wa kigeni wanaoishi kisanii Nchini.. Omog aanza kusuka mabao,.. Simba yawasha 'indiketa'.. Na katika burudani: Hamisa Mubeto amburuza Diamond Platnumz Kortini.. #share






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search