Magazeti ya Leo 11/10/2017: GOOD NEWS: TRA yakusanya Trillion 3.7.. Odinga ajitoa Uchaguzi wa marudio Kenya,.. Angela Kairuki 'kulala mbele' na watorosha madini,.. wizi wa simu wampeleka jela miaka 30,.. IGP Sirro 'atangaza kiama' cha Mange Kimambi,.. kilichomtoa Prof. Kitila ACT hiki hapa,.. Yanga yamwagiwa Mamilioni usiku.. Na katika udaku: Bwana'ke Wema adakwa kwa unga!! #share





























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search