Magazeti ya Leo 13/10/2017: Countdown: Mnada wa kwanza wa Tanzanite keshokutwa,.. Msako kwa waliotoroka 'tochi ya traffic' haumuachi mtu salama.. CCM waja na mkakati 'kuengua' asilimia 40 ya wabunge wake.. Sheikh Ponda 'ayeyuka' polisi wampa siku 3,.. Familia ya Lissu bado 'yaweweseka',.. Dhahabu ya Mil.500 yanaswa ikitoroshwa Bandarini.. Okwi kuivaa Mtibwa na 'hasira hasira zake..' Staa wa Soka 'atwaa' Urais Liberia,.. Udaku: Zari akwaa dili la nguvu Sauz,.. #share





























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search