Magazeti ya leo 15/10/2017: JMP awazodoa wanaotaka Mwenge ufutwe; asema unaenzi Historia,..  Tundu Lissu bado kitendawili; waliomfuata Nairobi warudi wamebadilika.. Sheikh Ponda bado asota rumande,.. Panga la 'umri feki' lageukia vigogo wa Serikali,.. Ajib aipaisha Yanga hadi kileleni.. wasema Msimbazi watasubiri kwanza,.. #share

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search