Magazeti ya Leo 16/10/2017: SHERIA MPYA YA VYAMA VYA SIASA; Jaji Mutungi aibua utata mzito.. Wasira atoka kivingine; asema kuikosoa Serikali si kosa la jinai,.. siku 40 za Lissu ICU, OP ya 15 yawadia; uchunguzi wake bado 'kitendawili'.. Ma-RC na Wakurugenzi zaidi ya 100 wakalia kuti kavu,.. CCM Vijana hapatoshi; 113 wagombea nafasi moja,.. Bomoabomoa Nyumba 24 za Ibada Dar kuanza leo.. 'Mhenga Okwi' aiokoa Simba isizame,.. Yanga yashusha 'mastraika' wawili balaa,.. Na katika Udaku: Masanja Mkandamizaji atoweka na Bil. 3 za sadaka,.. #share




















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search