Magazeti ya Leo 17/10/2017: NAIROBI, KENYA; Tundu Lissu akaa, aanza mazoezi.. mda wowote kutoka hospital,.. MPYA; Leseni za udereva sasa ruksa kupigia kura.. Kimbunga cha Mangula chaleta vumbi CCM,.. Bomoabomoa nyumba za Ibada huzuni zatawala,.. NAKUMAT yapigwa 'makufuli' Mlimani City,.. SWALI; 'Maalim Seif ataapishwa lini..' MALORI ya Dangote yaleta maafa,.. Watanzania wa 'madawa' China waendelea kufyekwa,.. Simba, Yanga 'gonjwa lao moja'.. Bakhressa azuiwa kuinunua Simba.. na Mkude wa 'Simba' afunga mjadala,.. #share




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search