Magazeti ya Leo 22/10/2017: Mkakati wapikwa kumng'oa Spika Ndugai,.. Zitto asema Serikali inaparangana kuinasua Bombadia,.. Mganga, dereva ndani ya kashfa nzito ya kunajisi watoto 14,.. Mawaziri waingia mtegoni mazungumzo ya Acacia,.. Msekwa aumizwa na shambulizi la Tundu Lissu,.. Simba '4G' yasema  'hatutaniwiii' Man City kutwaa ubingwa BPL ? #share


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search